KaLoBiZ MoNtaNa

Friday, February 15, 2013

Yap ni leo tena mungu ameweza kutuamsha kwa mara nyingine tena, hatuna budi kumshukuru sana na kuzidi kumuabudu mwenyezimungu muumba wa dunia na Ardhi ......

Wakazi wa mtwara  kwa sasa wamekaa wa amani kwasababu fujo hakuna tena na wanasubiri maamuzi ya Raisi kuamua juu ya matumizi ya gesi


No comments:

Post a Comment